TANGAZO
JUBILEE
YA MIAKA 50 YA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA RUGAMBWA, BUKOBA
Jumuiya
ya wanarugambwa (Rugambwa Girls Foundation) wanayo furaha kukualika kwenye
mkutano wa pamoja utakaofanyika tarehe 23 Januari, 2016 kuanzia saa 7 mchana, Leaders
Club, Dar es Salaam.
Ukiwa
kama mdau wa Rugambwa Sekondari: mwanafunzi, mwalimu, mtumishi wa aina yoyote
aliyewahi kupita Rugambwa Sekondari pamoja wanafunzi wote waliosoma shule
rafiki za Rugambwa (Ihungo, Kahororo, Bukoba Sekondari, Nyakato, Ntungamo
Seminari, n.k. tunakualika kushiriki.
Lengo
ni kukutana kubadilishana mawazo na kupeana mikakati jinsi ya kupata fedha kwa
ajili ya kufanikisha jubilee ya miaka 50 ya Rugambwa Sekondari itakayofanyika,
Machi 2016 pamoja na ukarabati na uboreshaji wa shule hiyo.
Atakayesikia
au kusoma tangazo hili amfahamishe na mwingine.
Kwa
maelezo zaidi wasiliana na:
Rugambwa
Girls Foundation
+255
754 288 671
+255
715 265 158
+255
712 995 991
+255
754 784 545
+255
786 292 402
0 comments :
Post a Comment