Baadhi ya wana RGF
walipotembelea Rugambwa Secondary School kwa ajili ya kuangalia maeneo ambayo
RGF inaweza toa msaada (Donation).
Kwenye picha ni
Jeneveva Lugumamu, Jadida H. Kichwabuta, Mwl. Saleh (Second Mistress) na Mwl.
Twende ambaye ni mratibu wa Jubilee itakayo fanyika mwakani 2016.
Big up Jeddy!
ReplyDelete